Top Stories

MO DEWJI KUTEKWA | “CCTV CAMERA zitafungwa Majiji yote, hata uangushe sindano”

on

Leo October 14, 2018 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Hamad Masauni amesema wanampango wakufunga CCTV Camera hasa katika Miji Mikuu ili kupunguza matukio mbalimbali ikiwemo suala la utekaji nakuwaonya wanasiasa uchwara wanaochukulia masuala ya utekwaji kama mtaji wa kisiasa.

“Mazingira ambayo Polisi wanafanya kazi yana changamoto na wakati mwingine yanakwaza utendaji wa majukumu, Tuna mipango hasa katika Miji Mikuu tunaweka CCTV Camera ambapo hata ukidondosha sindano utaonekana” -Naibu Waziri Masauni

Rais Magufuli “Namalizia December nahamia Dodoma, nayoyafanya Tanzania ni kumuenzi Nyerere”

Soma na hizi

Tupia Comments