Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mke aliehukumiwaga kunyongwa na Mumewe kufungwa yaamuriwa walipwe (+video)

on

Mke aliehukumiwaga kunyongwa na Mumewe kuhukumiwa  miaka 30 jela kimakosa baada ya kukata Rufaa kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu nakubaini alifungwa kimakosa huku akiwa ashatumikia miaka 20 jela Mahakama imeamuru walipwe fidia.

Akizungumza na AyoTV na millardayo.com Mke amesema alihukumiwa kimakosa kwa kosa la kuhusika na mauaji ya dereva bodaboda aliyepanda pikipiki yake.

RAIS MAGUFULI KUZINDUA HIFADHI YA TAIFA YA BURIGI CHATO

Soma na hizi

Tupia Comments