Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: EP mpya na ya kwanza kwa Joh Makini, afunguka haya
Share
Notification Show More
Latest News
Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > EP mpya na ya kwanza kwa Joh Makini, afunguka haya
Entertainment

EP mpya na ya kwanza kwa Joh Makini, afunguka haya

March 17, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Ni episode nyingine tena ya Mwamba wa Kaskazini Joh Makini, ni package nyingine mpya yenye collection ya Rapper Joh Makini ambaye tayari amewatangazia Mashabiki zake kuachia EP yake mpya ya ‘WAVE’ kesho March 17 ikiwa na nyimbo sita 6.

Joh ameiambia AMPLIFAYA ya CloudsFM kwamba mwaka huu uachiliaji wake wa ngoma mpya utakuwa wa tofauti na miaka iliyopita ambako alikua akiachia ngoma chache kwa mwaka ——— > “Hii ni EP yangu ya kwanza kwenye rekodi zangu, nadhani mwaka huu itakua tofauti kidogo usishangae kukawa labda na EP mbili na kisha album kabla mwaka haujaisha”

Alipoulizwa na Millard Ayo kuhusu ngoma namba 6 inayoitwa “nyeusi” ambayo ni beat ya Producer Nahreel, Joh alijibu ———> “Nyeusi ni ngoma ambayo tulirekodi muda kidogo lakini ilikua tu haijatoka, ni beat ya Nahreel lakini voco, mixing na mastering nilifanya MJ Records kwa Marco Chali, sisi na Nahreel ni Familia kama kawaida na tunawasiliana na kuna baadhi ya kazi tumekuwa tukiendelea kufanya ukiangalia hata kwenye album ya WEUSI kuna ngoma za Nahreel mle”

“Ni ubize tu wa namna ambavyo wao waliamua kuingia rasmi kwenye muziki ikawa inatufanya sisi tutafute namna nyingine ya kurekodi muziki kwa sababu wakati mwingine wao wanakuwa bize wakifanya project zao kama Navykenzo lakini sisi ni familia, tunawasiliana, tunatembeleana, tunafanya kazi, we good” ——— Joh Makini

You Might Also Like

Harmonize katuletea hii video mpya ‘Single Again’ (video+)

Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa

Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa

Barnaba ametuletea hii single mpya ‘Nampenda’ (Audio+)

Ni mkali Jaivah x Marioo wametuletea hii ‘Soup’ wakiwa Chino Kidd, Scotty London & Ks Hub

Edwin TZA March 17, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Bodaboda watakiwa kuzingatia sheria Usalama Barabarani
Next Article Vifo vya watu wa Familia moja vyazua taharuki mitandaoni, RC atoa Ufafanuzi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
Top Stories April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Top Stories April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

April 1, 2023
Top Stories

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

April 1, 2023
Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?