Mix

EPL: Daley Blind mchezaji mpya wa Man United – taarifa kuhusu Welbeck

on

IMG_6930.JPG

Manchester United imefanikiwa kukamilisha usajili wa beki/kiungo wa kimataifa wa uholanzi Daley Blind kutoka Ajax.

Blind ambaye aling’ara kwenye michuano ya kombe la dunia iliyoisha hivi karibuni anajiunga na United akitokea Ajax kwa ada ya uhamisho wa £14m.

Wakati huo huo taarifa kutoka UK zinasema mshambuliaji Danny Welback amefanyiwa na vipimo na Arsenal na amefuzu wakati vilabu vya Arsenal na United vikiwa kwenye majadiliano juu ya aina ya uhamisho wa kumtoa Welbeck Old Trafford kwenda Emirates.

Kadri taarifa zitakavyokuwa zinatoka millardayo.com itakuwa ya kwanza kukufahamisha.

Tupia Comments