Mix

EPL: Matokeo ya Arsenal vs Aston Villa haya hapa

on

IMG_7373-0.PNG
Ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena leo kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja tofauti nchini humo.

Arsenal wakiwa ugenini Villa Park, walicheza dhidi ya Aston Villa, mayokeo ni ushindi kwa Gunners wa magoli 3-0.

Magoli ya Mesut Ozil, Danny Welbeck na goli la kujifunga la Aly Cissokho – yalikamilisha ushindi wa kwanza kwa Arsenal tangu waliposhinda dhidi ya Crystal Palace katika mechi ya kwanza.

Timu zilipangwa kama ifuatavyo-

Aston Villa 4-3-3: Guzan 6; Hutton 6.5, Senderos 6, Clark 6, Cissokho 6; Cleverley 6.5, Sanchez 6 (Bacuna 86min), Delph 7; Weimann 6 (Grealish 46, 6), Agbonlahor 6.5, Richardson 6 (N’Zogbia 77)
Booked: Clark
Subs not used: Given, Okore, Cole, Lowton.
Manager: Paul Lambert 6
Arsenal 4-2-3-1: Szczesny 7; Chambers 6.5, Mertesacker 7, Koscielny 7, Gibbs 7; Arteta 6.5, Ramsey 7 (Wilshere 78); Oxlade-Chamberlain 7 (Rosicky 78), Ozil 8, Cazorla 7; Welbeck 7.5 (Podolski 78)
Booked: Chambers, Ramsey, Wilshere
Subs not used: Ospina, Diaby, Sanchez, Coquelin

Tupia Comments