Michezo

Kama zilikupita mechi za October 4 za Ligi Kuu Uingereza, ninazo video za magoli ya mechi hizo mtu wangu…

on

Jumapili ya October 4 ni siku ambayo Ligi Kuu Uingereza iliendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, Jumapili hii ilikuwa inahusisha michezo mitatu ya Ligi Kuu Uingereza sambamba na mechi mbili kubwa  Arsenal dhidi ya Manchester United, Everton dhidi ya Liverpool hiyo ndio michezo iliyokuwa imeteka hisia za mashabiki wengi.

Huenda ulikuwa busy na majukumu ya ujenzi wa taifa na hukupata nafasi ya kutazama mechi hizo hata moja wapo, naomba nikusogezee, video za magoli ya mechi hizo mtu wangu wa nguvu kama ulipitwa na mechi hizo.

Arsenal 3 – 0 Manchester United
Alexis Sanchez 6′ 19′
Mesut Ozil 7′

Everton 1 – 1 Liverpool
Romelu Lukaku  45       Danny Ings 42′

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Tupia Comments