Michezo

Full Time ya Chelsea Vs Norwich City na matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu Uingereza Nov 21 (+Pichaz&Video)

on

November 21 mechi za Ligi Kuu Uingereza zimeendelea tena baada ya kusimama kwa siku kadhaa ilikupisha mechi za kimataifa, michezo kadhaa imepigwa katika viwanja mbalimbali, klabu ya Chelsea inayofundishwa na kocha Jose Mourinho ilikuwa na kibarua kigumu cha kuanza kutafuta ushindi dhidi ya klabu ya Norwich City katika dimba lake la nyumbani Stamford Bridge.

Chelsea's Eden Hazard (right) and Norwich City's Youssouf Mulumbu battle for the ball during the Barclays Premier League match at Stamford Bridge, London. PRESS ASSOCIATION Photo. Picture date: Saturday November 21, 2015. See PA story SOCCER Chelsea. Photo credit should read: Nigel French/PA Wire. RESTRICTIONS: EDITORIAL USE ONLY No use with unauthorised audio, video, data, fixture lists, club/league logos or "live" services. Online in-match use limited to 75 images, no video emulation. No use in betting, games or single club/league/player publications.

Mechi hiyo ambayo kwa Chelsea ilikuwa ya 13 ya Ligi Kuu Uingereza toka kuanza kwa msimu huu, ikiwa ishacheza mechi 12 na kushinda 3, imefungwa 7 na kutoa sare mechi 2 haikuwa rahisi kupata matokeo licha ya kuwa ilikuwa katika uwanja wake wa nyumbani wa Stamford Bridge London kwani walikosa nafasi kadhaa za kufunga.

Norwich's Sebastien Bassong, rear, and Chelsea's Diego Costa challenge for the ball during the English Premier League soccer match between Chelsea and Norwich City at Stamford Bridge stadium in London, Saturday, Nov. 21, 2015. (AP Photo/Frank Augstein)

Hadi dakika 90 zinamalizika Chelsea walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 licha ya kukosa nafasi kadhaa, goli la Chelsea lilifungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil anayekipiga katika klabu hiyo Diego Costa dakika ya 64 ya mchezo na kuwatuliza mashabiki wa Chelsea waliokuwa hawana furaha kutoka na mfululizo wa matokeo mabovu.

Matokeo ya mechi nyinine za Ligi Kuu Uingereza Zilizochezwa November 21

  • Watford 1 – 2 Manchester United
  • Everton 4 – 0 Aston Villa
  • Newcastle United 0 – 3 Leicester City
  • Southampton 0 – 1 Stoke City
  • Swansea City 2 – 2AFC Bournemouth
  • West Bromwich Albion 2 – 1 Arsenal

Video ya magoli ya mechi ya Chelsea Vs Norwich City

https://youtu.be/NaF5Lu34IFY

Video ya mago ya mechi ya Watford Vs Manchester United

https://youtu.be/QWAcENpoiXk

Magoli ya mechi ya West Bromwich Albion Vs Arsenal

https://youtu.be/9uN08LZBQdw

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments