Michezo

Nimekusogezea matokeo ya mechi ya Everton Vs Man City (Picha&video)

on

Klabu ya Manchester City imeshuka  dimbani August 23 katika uwanja wa Goodson Park kukipiga na mwenyeji wake klabu ya Everton katika mechi ya Ligi Kuu, Man City bado inaendeleza wimbi la ushindi kwani imecheza mechi tatu na kushinda zote, Man City imeifunnga Everton kwa jumla ya goli 2-0.

Man-City-Everton

Magoli ya Manchester City yalifungwa na Aleksandar Kolarov dakika ya 60 na baada ya hapo kiungo wa kimataifa wa Ufaransa Samir Nasri kufuatia kupachika goli la mwisho mnamo dakika ya 88 ya mchezo na kuifanya Man City kuwa na jumla ya point 9.

Hizi ni picha za mchezo

anchester City at Goodison Park on August 23, 2015 in Liverpool, England.

during the Barclays Premier League match between Everton and Manchester City at Goodison Park on August 23, 2015 in Liverpool, England.

Video ya magoli mtu wangu

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments