Michezo

Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video)

on

Jumamosi ya December 19 zimechezwa mechi saba za Ligi Kuu Uingereza, michezo ambayo ilikuwa inatajwa kuwa na mvuto zaidi ni mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Sunderland. Huu ulikuwa na mvuto kwa sababu ndio mchezo wa kwanza wa Chelsea kucheza bila kuwepo kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Jose Mourinho. Chelsea imefanikiwa kuifunga Sunderland kwa jumla ya goli 3-1.

Video ya magoli ya Chelsea dhdi ya Sunderland yalifungwa na Ivanovic, Pedro na Oscar na Sunderland limefungwa na Fabio Borini.

https://youtu.be/KWWncC9IwK8

Video ya kipigo cha 2-1 cha Man United walichopata kutoka kwa Norwich City magoli yakifungwa na  Cameron Jerome na Alexander Tettey wakati la Man United lilifungwa na Anthony Martial.

https://youtu.be/L5-KN13U-L8

Matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu Uingereza zilizochezwa December 19

  • Everton 2 – 3 Leicester City
  • Southampton 0 – 2 Tottenham Hotspur
  • Stoke City 1 – 2 Crystal Palace
  • West Bromwich Albion 1 – 2 AFC Bournemouth

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments