Michezo

Full Time za Liverpool, Real Madrid, Man U, City na nyingine November 8 2014

on

IMG_8675.JPGUnaambiwa mechi yao miezi sita iliyopita inatajwa kuwa moja ya mechi zilizoinyima ubingwa Liverpool ambapo leo hii Chelsea ikiwa kwenye ubora wa hali ya juu huku Liverpool wakiwa wanasuasua, walikipiga kwenye game hiyo kali ndani ya uwanja wa Anfield.

Mchezo huo umemalizika kwa Chelsea kuendeleza ubabe kwa Liverpool ambapo magoli ya Gary Cahil na Diego Costa ya Chelsea yaliizamisha Liverpool na kuiacha ikiwa inaelea kwa ushindi wa 2-1 huku Emre Can akikumbukwa na WanaLiverpool kwa kufunga goli la kufutia machozi.

Matokeo mengine ya mechi za November 8 2014 ndio haya hapa chini..

Screen Shot 2014-11-08 at 10.57.02 PM

Tupia Comments