Michezo

Gari 10 maarufu zinazomilikiwa na wachezaji Uingereza 2014, 2015 John Terry kaanza na hili (Pichaz)

on

Ikiwa zimepita siku kadhaa toka Ligi Kuu Uingereza ianze, mtu wangu wa nguvu nakusogeza karibu na magari 10 maarufu kwa wachezaji wa Ligi Kuu Uingereza kwa msimu uliopita 2014 . Wachezaji ni watu ambao hupenda kutembelea magari ya gharama je kwa mwaka 2015 watabadilika? Wiki moja iliyopita nahodha wa Chelsea John Terry kaonyesha gari yake mpya.

article-2723968-20810E1F00000578-844_634x353

1. Range Rover Pound 73,950 ni zaidi Tsh milioni 240

 

article-2723968-20810E0300000578-292_634x345

2. Bentley Continental GT pound 123,850 ni zaidi ya Tsh milioni 400

 

article-2723968-20810E7A00000578-32_634x347

3. Range Rover Sport pound 61,250 ni zaidi ya Tsh milioni 200

 

article-2723968-20810E1400000578-683_634x392

4. Audi Q7 pound : 43,895 ambayo ni zaidi ya Tsh milioni 140

 

article-2723968-20810E0E00000578-642_634x368

5. BMW X5 Pound : 42,950 ni zaidi ya Tsh milioni 140

 

article-2723968-20810E2A00000578-422_634x371

6. Porsche Cayenne Pound : 49,902 ni zaidi ya Tsh milioni 160

 

article-2723968-20810E1A00000578-490_634x347

7. Lamborghini Gallardo Pound : 158,800 zaidi ya Tsh milioni 530

 

article-2723968-20810E4200000578-391_634x339

8. Ferrari 458 Pound : 169,545 zaidi ya Tsh milioni 560

 

article-2723968-20810E0900000578-812_634x352

9. Maserati Gran Turismo Pound : 90,390 zaidi ya Tsh milioni 300

 

article-2723968-20810E7600000578-293_634x333

10. Aston Martin DB9 Pound: 132,000 zaidi ya Tsh milioni 300

Hii ndio gari ambayo John Terry kanunua

2B70921300000578-0-image-m-26_1439825441963

Gari mpya ya John Terry Ferrari 275

Chanzo cha hii stori:thisismoney.co.uk

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments