Baada ya Msanii wa Bongo Fleva, Tunda Man kuingia na Jeneza katika Shamra Shamra za Simba Day iliyofanyika Agosti 8, 2022 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam.
Sasa imekuwa na mitazamo tofauti kwa watu mbalimbali ambapo leo Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Gwajima ameitaka Klabu ya Simba SC kuoma radhi huku akidai kitendo hicho si cha ungwana.
Stori kamili unaweza ukabonyeza hapa.
MAHAKAMA YAAMURU DEREVA WA MABASI ALIETREND ALIPWE MILIONI 150, “MDAIWA ALITUMIA PICHA YAKE”