Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini Prof. Anna Tibaijuka ameongea na AyoTV na kueleza uhusiano uliopo kati ya Siasa na Taasisi ya shule zake ambazo uwafadhiri wanafunzi kwa kulipia zaidi ya asilimia 50.
Pia amegusia suala la watu wanaosema anafanya biashara katika shule hizo “Mimi naleta hapa pesa zangu ambazo nishalipia kodi halafu wanasema nafanya biashara, kwani nimekuwa mwendawazimu”
DC Chunya atembelea Mgodi wa Dhahabu unaomilikiwa na Familia, Mmiliki afunguka