Habari za Mastaa

Mitandao inavyompasua kichwa Wema Sepetu “Kuna muda nalia” (+video)

on

Msanii wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa inafikia hatua anajikuta analia mwenyewe kutokana na ‘comment’ anazokutana nazo mitandaoni.

Wema ambaye amekumbana na changamoto nyingi ikiwemo kukabiliwa na kesi mahakamani, ameyasema hayo mbele ya Waigizaji wenzake akieleza kuwa muda mwingine anaamka anakutana na ‘comment’ za ajabu kiasi cha kushindwa kujizuia.

Ukishajijua wewe ni brand hauna haja ya kubishana mitandaoni, wale watu wanakera.Hakuna kitu utachokosa kama ukikaa kimya hapa naongea tu maana najitahidigi kukaa kimya ila sisi kama wasanii tuna feeling maana kuna muda unalia,“amesema.

Wanaotaka kumuigiza Rais wapewa masharti haya “Hata gari nzuri hana”

Soma na hizi

Tupia Comments