Habari za Mastaa

AudioMPYA: Msami katuletea hii single yake mpya ‘Step by Step’

on

Ni mwimbaji na dancer kwenye muziki wa bongofleva anaitwa Msami Giovani leo August 16, 2016 anaibariki asubuhi hii kwa kuichia single yake mpya iitwayo Step by Step

Unaweza ukabonyeza PLAY kuisikiliza hiyo single mpya

ULIIKOSA HII YA MSAMI ALIVYOFANYIWA SUPRISE YA GARI KUTOKA KWENYE MENEJIMENTI YAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments