Mix

FORBES: Dangote ameporomoka kwenye list ya matajiri wa Dunia

on

Bilionea raia wa Nigeria Aliko Dangote ameporomoka kwenye nafasi za watu tajiri duniani hadi 105 kutoka nafasi ya 51. Kwa mujibu wa Jarida la Forbes limeripoti kwamba utajiri wa Dangote umepungua kutoka dola bilioni 15.4 mwaka 2016 hadi dola bilioni 12.2 mwaka huu kutokana na kushuka thamani kwa pesa ya Nigeria.

Dangote alijipatia utajiri wake kupitia uzalishaji wa Cement, Sukari, na Unga wa Ngano, alikua kwenye headlines zaidi mwaka 2016 baada ya kutangaza kuinunua club ya Arsenal miaka minne ijayo. Jana Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Amazon Jeff Bezos alimpita Bill Gates kwa masaa manne kama mtu tajiri duniani kabla ya kushuka hadi nafasi ya tatu.

Nimekuwekea hapa top 10 ya matajiri wa dunia kwasasa.

VIDEO: Kama ulizoea kununua chakula kwa 5000, sasa utanunua kwa 3500. Bonyeza play kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments