Vituko/ Comedy

VIDEO: Eric Omondi alivyoirudia sehemu ya movie ya ‘The Gods must be crazy’

on

Eric Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye anakupa uhakika wa kucheka na kusmile kila time ukimsikia au kumtazama,  amekuwa na utundu wa  kuzirudia na kuziigiza movie na nyimbo za mastaa mbalimbali.

Time hii ameirudia movie ya ‘The gods must be crazy’ na ameeiita ‘The Gods are not crazy we are’, unaweza kuitazama hapa chini, ukishaitazama usisahau kuniachia comment yako atapita hapa kuitazama.

AyoTVMAGAZETI: DCI afunguka kutoweka kwa msaidizi wa Mbowe, Mabadiliko yaja Elimu ya msingi, Bonyeza play hapa chini kutazama

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments