Vituko/ Comedy

VIDEO: Mchekeshaji Eric Omondi kaigiza sehemu ya movie ya ‘Adam na Eva’

on

Mchekeshaji wa Kenya Eric Omondi amekuwa na utundu wa  kuzirudia na kuziigiza movie na nyimbo za mastaa mbalimbali ambapo wakati huu ameirudia sehemu ya movie ya Adam na Eva wakiwa kwenye bustani ya Eden.

OnAIR: Ataemchukulia Uwoya Mwanaume, Wanaume wanaokwenda Saluni je? Bonyeza play hapa chini kutazama

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments