Videos

VIDEO: Mchekeshaji Erick Omondi kairudia ‘Aje’ ya Alikiba na kuifanyia hii video

on

Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na fani yake ya uchekeshaji lakini pia utundu wake wa kuigiza na kuzirudia nyimbo za Diamond kwenye video kama vile ‘nasema nawe’.

Time hii kairudia ya Alikiba na ndio hii hapa chini, ukishaitazama usiache kutupia comment yako mtu wa nguvu ni lazima apite kusoma Watanzania wanasemaje.

ULIIKOSA HII YA ALIKIBA ALIVYOMLETA JUKWAANI JOKATE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments