Habari za Mastaa

‘Nasema Nawe’ imemkuna zaidi Eric Omondi?? Hii remix yake imenichekesha sana yani.. (VIDEO)

on

ERICOOOL

East Africa inamfahamu mchekeshaji Eric Omondi.. ni mchekeshaji toka 254 Kenya.. mara ya kwanza alitupia kipisi cha video akicheza wimbo wa Nasema Nawe kwenye ukurasa wake Instagram.. safari hii ametupia vingine, yani ni remix kabisa ambayo kaifanya mwenyewe Eric !!

Aliwahi kufanya Remix yake ya My Number 1 ya Diamond Platnumz, so kuna dalili zote kwamba ‘Nasema Nawe‘ kaipenda pia.

Hiki kipisi cha kwanza alikiweka jana @Instagram

Are you ready for this???… @diamondplatnumz @tuddthomas @diamondplatnumzdaily @zarithebosslady NABEBA MAWE!!!

A video posted by Eric Omondi (@ericomondi) on

Kikafuatia hiki kipisi cha pili..

Legoooooooo!!! @diamondplatnumz @diamondplatnumzdaily @mzaziwillytuva @msetoea @zarithebosslady NABEBA MAWE!

A video posted by Eric Omondi (@ericomondi) on

Hiki cha mwisho amekiweka saa chache zilizopita leo..

Naitafuta video yote mtu wangu, nikiipata tu nakusogezea hapa soon.. kaa karibu na mtu wako wa nguvu kwenyeTwitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  TwitterInstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTubekwa kubonyeza hapa>>>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments