Michezo

Eriksen: kuhusu mimi kutokucheza mpigie Conte

on

Maamuzi ya Kiungo Denmark Christian Eriksen kuondoka Tottenham na kwenda Inter Milan yameonekana kama alifanya makosa baada ya kukosa muda wa kutosha wa kucheza Inter Milan chini kocha Antonio Conte.

“Mpigie (Conte) halafu umuulize kwa sababu ndio mtu anayefanya maamuzi, tofauti za hapa na pale siku zote zipo katika soka, kuna wachezaji wachache sana ambao mambo yao yamekuwa vizuri siku zote katika maisha ya soka”

”nimekuwa bora na sifikirii kuhusiana na masuala ya kukosolewa kwa sababu ni kawaida kila mmoja kuwa na maoni yake”>>> Eriksen alipoulizwa swali na shabiki VIA Danish FA Q&A

Soma na hizi

Tupia Comments