Burudani

Video: Kwa mara ya kwanza Offset na Cardib waanza kutumbuiza na mtoto wao

on

Ni Headlines za rapper Offset kutokea kundi la Migos ambae usiku wa kuamkia leo walitumbuiza kwenye jukwaa la Hip Hop Live akiwa na mzazi mwenza Cardib.

Sasa kilichowashangaza wengi ni baada ya wawili wao kuonekana wakiwa jukwaani na mtoto wao aitwae Kulture kitu ambacho akijawahi kufanywa na wakali hao wawili.

Ikumbukwe hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Kulture kupandishwa jukwaani na wazazi wake tangu azaliwe

Itazame hii video hapa

Soma na hizi

Tupia Comments