Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Muda ulioongezwa na TRA kulipia kodi za majengo
Share
Notification Show More
Latest News
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Muda ulioongezwa na TRA kulipia kodi za majengo
AyoTV

VIDEO: Muda ulioongezwa na TRA kulipia kodi za majengo

July 15, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’ imetangaza kuongeza kwa mara nyingine muda wa kulipa kodi ya majengo ambayo kwa Mwaka Fedha 2016/17 na sasa muda wa mwisho utakuwa July 31, 2017.

Awali TRA iliongeza muda wa kukusanya kodi hizo ambao siku ya mwisho ilikuwa leo July 15, 2017 lakini kutokana na mwamko mkubwa kwa Watanzania katika kulipa kodi hiyo Mamlaka hiyo imelazimika kuongeza hadi July 31, 2017 ili kutoa nafasi zaidi kwa Watanzania kulipa.

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo amesema:>>>“Tunatambua kuna watu ambao hawajaweza kufanya hivyo. Hivyo tunachokifanya ni kwamba ili tusiathiri kodi zingine ambazo zinaendelea kukusanywa kwa sababu katika kipindi hiki staff wetu walijikita zaidi kwenye kodi ya majengo na wakati huo huo tulisimamisha kukusanya kodi za mwaka huu za majengo.

“Sasa ili vyote viende kwa pamoja na kwa utaratibu mzuri na kutowanyima nafasi ambao wanataka kuendelea kulipa kodi za mwaka huu tumeona kwamba tuweke vituo maalumu na tuendelee kuwahudumia mpaka mwisho wa mwezi.” – Richard Kayombo.

TRA Mwanza siku moja kabla ya muda wa mwisho kulipia kodi ya majengo!!!

You Might Also Like

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

Gharama ya kupunguza uzito kwa puto, madhara yake?, Msechu Kilo 7 zimepungua

Wanaorekodi video video za matukio Shuleni waonywa

Serikali yaweka wazi kutotangaza shule bora

TAGGED: Ayo TV, TRA, TZA HABARI
Millard Ayo July 15, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Wolper kuhusu wanaodai ana wivu na Harmonize…vipi ana mpenzi mwingine?
Next Article PICHA 10: Kutoka kwenye mapokezi ya Rapper Nasty C, Airport DSM leo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao

February 3, 2023
Top Stories

Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia

February 2, 2023
Top Stories

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

February 2, 2023
Top Stories

Gharama ya kupunguza uzito kwa puto, madhara yake?, Msechu Kilo 7 zimepungua

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?