Habari za Mastaa

Maneno ya Reyvanny akiongea kwa mara ya kwanza baada ya kutwaa tuzo BET

on

Mwimbaji Rayvanny ambaye usiku wa kuamkia leo alishinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act akiwa star wa kwanza kutoka Bongo kutwaa tuzo hiyo amezungumza kwa mara ya kwanza tangu kutokea kwa tukio hilo.

Akizungumza kupitia Top 20 ya Clouds FM Rayvanny ameelezea hisia zake kwa furaha na kuwashukuru Watanzania kwa ushirikiano kwa kuwa hakutarajia na ana matumaini watu wengi watajitokeza Airport kuipokea tuzo hiyo.

Hii hapa FULL STORY…bonyeza Play hapa chini kusikiliza!!!

VIDEO: Diamond kaongea baada ya Rayvanny kushinda tuzo ya BET

Soma na hizi

Tupia Comments