AyoTV

VIDEO: ‘Kwanini TAKUKURU hawajawafikisha watu hawa Mahakamani?” Zitto Kabwe

on

Kutoka Bungeni Dodoma Mkutano wa bunge umeendelea tena leo April 28 2016  ambapo mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amewasilisha bungeni ripoti mpya ya tuhuma za IPTL, Tegeta Escrow pamoja na Standard Bank ya Uingereza.

Katika mambo ambayo zitto ameyazungumzia ni kuhusu Takukuru na kesi za ufisadi nchini ikiwemo ya Ufisadi wa HatiFungani ya Tshs 1.2 trilioni Standard Bank ya Uingereza na Uchunguzi wa IPTL Tegeta Escrow Account, Kuhusu hatifungani ya trilioni 1.2 ya Standard Bank ya Uingereza Zitto amesema…….

ULIIKOSA HII YA ‘WACHAWI WANAENDELEA KUROGA’ SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments