Xxl ya cloudsFM kila mwaka hufanya party ya wanafunzi wote waliofunga shule ikiwa ni pamoja na wa shule ya Msingi,Sekondari,kwa pamoja party hii inaitwa After skul Bash,hii inaendelea sasa hivi katika ufukwe wa bahari Escape 1 Mikocheni Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka hapa kwenye ufukwe wa bahari Escape One.