Habari za Mastaa

ZARI: “Wamejichezea wenyewe wakidhani wananichezea mimi”

on

Huku gumzo likiendelea kuhusu Diamond Platnumz kuzaa na Mwanamitindo Hamisa Mobetto wakati mzazi mwenza wa Diamond, Zari the Boss Lady naye akikabiliana na comments nyingi juu ya suala hilo kwenye mitandao ya kijamii, leo September 20, 2017 kwenye account yake Instagram Zari ametoa yake ya moyoni.

Hata hivyo ujumbe huu haujaonesha nini hasa Zari anamaanisha kama amemsamehe mzazi mwezie Diamond na wataendelea na mahusiano yao au ameamua kuachana naye.

Uliikosa hii? Huyu ni Hamisa Mobetto na Diamond Platnumz kitandani?

Hii je? DIAMOND: “Nilimpa HAMISA laki 5 kila wiki kwa ajili ya mtoto”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments