AyoTV

Video ya magoli ya mechi ya Azam FC Vs Esperance ya Tunisia April 10, Full Time 2-1

on

April 10 2016 ilikuwa zamu ya Azam FC kuiwakilisha Tanzania dhidi ya Esperance ya Tunisia katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, Mchezo huo ambao ulimalizika kwa Azam FC kuibuka na ushindi wa goli 2-1. Magoli ya Azam FC yalifungwa na Farid Musa  dakika ya 68 na Ramadhani Singano dakika ya 70, wakati goli pekee la Esperance lilifungwa dakika ya 34 na Haithem Jouini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

DANADANA ZA MBWANA SAMATTA

Soma na hizi

Tupia Comments