Michezo

Virgil van Dijk kawabwaga Messi na Ronaldo

on

Beki wa kimataifa wa Uholanzi anayekipiga katika club ya Liverpool  Virgil van Dijk leo ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Ulaya.

Van Dijk ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya msimu wa 2018/2019, baada ya kufanya vizuri akiwa na Liverpool na kuwabwaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo waliokuwa wanawania nae tuzo hiyo.

Hata hivyo Van Dijk ametangazwa kuwa beki bora wa UEFA 2018/2019, Allison Becker wa Liverpool ndio kipa bora wakati Frenkie Dejong akitangazwa kiungo bora, Messi amechukua tuzo ya mshambuliaji bora.

Soma na hizi

Tupia Comments