Rais wa chama cha soka Cameroon (FECAFOOT) Samuel Eto’o amerekodiwa akimpiga mtu aliyekuwa na camera nje ya uwanja nchini Qatar inakoendelea michuano ya Kombe la Dunia 2022.
Tukio hilo limetokea katika eneo la kuegeshea magari wakati wa mchezo wa 16 bora wa Brazil dhidi ya Korea Kusini ambapo Brazil alishinda 4-1 katika mchezo uliyochezwa katika uwanja wa 974.
Bado haijaeleweka mara moja ni nini kilipelekea Eto’o kukasirika na kumpiga jamaa huyo aliyekuwa na Camera nje ya uwanja katika eneo la kuegeshea magari.
🚨ALERTE !
Samuel Eto’o répond violemment à un YouTubeur Algérien après 9 mois de Harcèlement sur les réseaux sociaux avec ses confrères YouTubeurs à cause du match Algérie-Cameroun.
Selon nos sources, la victime AURAIT eu des propos racistes et injurieux envers le président. pic.twitter.com/LXsaJX0cKZ
— 𝗝𝗼𝘂𝗲𝘂𝗿𝘀 𝗰𝗮𝗺𝗲𝗿𝗼𝘂𝗻𝗮𝗶𝘀 🇨🇲🦁 (@JoueursCMR) December 6, 2022