Michezo

Tazama video Davido akimfundisha Samuel Eto’o kucheza Skelewu

on

Davido-Samuel-Etoo-September-2013-BellaNaijaHivi karibuni msanii wa kimataifa wa Nigeria Davido alikutana na mshambuliaji wa Chelsea Samuel Eto’o alipokuwa kikazi jijini London. Davido alitumia nafasi ya kukutana na Eto’o kumfundisha mwanasoka huyo wa Cameroon kucheza wimbo wake wa Skelewu. Unaweza kuitazama video hapo chini Eto’o akifundishwa kucheza Skelewu….

 

Tupia Comments