Michezo

VIDEO: CEO wa Everton alivyothibitisha kuileta Everton Bongo leo

By

on

CEO wa Klabu ya Everton Robert Elstone amethibitisha kwamba klabu hiyo itakuja Dar es Salaam na timu ya kikosi cha kwanza kwa ajili ya mchezo wake na Mshindi wa mashindano ya SportPesa Super Cup katika mchezo ambao utapigwa Uwanja wa Taifa.

“Tuna furaha kubwa kuthibitisha kwamba Ronald Koeman atakileta kikosi cha kwanza cha Everton kucheza hapa Tanzania July 13. Ni furaha sana kufanya hivyo pamoja na SportPesa ambao wametusaidia kulifanikisha hili.” – Robert Elstone

Zaidi ni kwenye hii VIDEO hapa chini ambayo unaweza kutazama kwa ku-play!!!

VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

 

Soma na hizi

Tupia Comments