Habari za Mastaa

Rapa Eve afunga ndoa na Bilionea.

on

eve-maximillion-cooper-16x9Hatimaye rapa wa kike maarufu wa muziki wa nchini Marekani Eve, amefunga ndoa na mchumba wake Bilionea raia wa Uingereza Maximillion Cooper.

Ndoa hiyo imefungwa nchini Hispania na mchumba wake ambaye pia ni mmiliki wa kiwanda cha magari.

Eve na mpenzi wake wamefunga ndoa katika mji wa Ibiza huko Hispania ambapo wapenzi hao walivalishana pete ya uchumba Desemba mwaka 2013 katika sikukuu ya Christmas.

Ungependa stori kama hizi zisikupite? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza >>> Twitter Instagram facebook na kupata pichaz, video, stori na mengine yote ya hii dunia.

Tupia Comments