Burudani

Kala Jeremiah kazungumza kuhusu shambulio la Tundu Lissu

on

Msanii wa Hip Hop, Kala Jeremiah amezungumza na Ayo TV kwenye Exclusive Interview ambapo moja kati ya mengi aliyoyasema amefunguka kuhusu tukio la kupigwa risasi kwa Mwanasheria wa TLS na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa kusema ni tukio lililomshtua kwani ni suala ambalo halijazoeleka Tanzania.

Kuitazama Interview nzima nonyeza Play kwenye video hapa chini….

Ulipitwa na hii? JUX HANA NOMA NA VANESSA! Tazama alivyomuita

Soma na hizi

Tupia Comments