Top Stories

RC Makonda kwa wanaomuunga mkono Pierre (+Audio)

on

Baada ya ile kauli ya RC Paul Makonda aliyoiongea kuhusu Pierre kupewa airtime na waandishi wa habari jana March 30,2019 katika harambee ya uchangiaji wa fedha kwa jailli ya kujenga shule ya bweni ya wasichana wilayani Kisarawe iliyoandaliwa rasmi na DC Jokate.

Kupitia maoni ya watu wengi kweye mitandao ya kijamii wameonekana kuiponda kauli hiyo ya RC Paul Makonda na wengine kumuunga mkono Pierre, kupitia ukurasa wa instagram wa Paul Makonda ameamua kufunguka kuhusiana na kauli yake.

“Nawapongeza wote mnaunga mkono matendo ya watu kama hawa na kuyapa nafasi katika jamii. Najua kuelewa jambo inahitaji Muda .Ipo siku mtaelewa” >>>RC Paul Makonda

MANENO YA WAZIRI KIGWANGALLA AKIWA SAMBAMBA NA PIERRE ‘ANACHEKESHA’

Soma na hizi

Tupia Comments