Ni Mkali Con Boi ambae time hii amefika katika studio za Ayo TV akiongozana na Mtayarishaji Luffa ambapo wamesimulia mengi yanayoendelea kwenye muziki ikiwemo kutowasiliana na wasanii wenzake ambao alikuwa akifanya nao kazi kwenye kundi la OMG.
Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Leave a comment
Leave a comment