Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Hamisi kafunguka baada ya kutolewa BSS “Nina ubovu wa masikio”

on

Kijana Hamisi aliyekuwa akishiriki kwenye mashindano ya kusaka vipaji vya kuimba ya BSS (Bongo star search) amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutolewa kwenye mashindano hayo ambayo yamefika katika level ya fainali huku Hamisi akiwa ametolewa baada ya kuingia kwenye kumi bora.

Hamisi amesema wakati akiendelea na mashindano alikuwa hayuko sawa kiafya na kueleza kuwa amekuwa na shida ya masikio kwa muda mrefu na hata walimu wake kwenye mashindano walikuwa wanalijua hilo.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza HAMISI akifunguka zaidi.

Q CHILA KAMPA MAKAVU TID “ASIMUITE MWANANGU CHAWA, BADO HATUJAYAMALIZA”

Soma na hizi

Tupia Comments