Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Historia ya Mtoto wa Mchungaji Baddest 47 alieimba ‘nikagongee’ – nilisota Dar nikarudi Kyela kuuza nguo

on

Mtaani inalia sana, kwenye Night Clubs inalia sana vilevile…. ni ngoma ya ‘nikagongee’ ambayo pamoja na kwamba imelia sana mtaani wengi hawakuwa wanafahamu alieimba anatokea wapi, niliona mitandao mingine inaandika ni Mkenya wa Mombasa…. On Air with Millard Ayo imekaa na Baddest 47 ambae ni Mtanzania, bonyeza play hapa chini kumtazama

MWANAMKE ALIEPATA MIMBA BILA KULALA NA MWANAUME ASIMULIA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

MARIOO AELEZA NANDY ALIVYOMUWEKEA POZI SIKU YA KWANZA, NA ALIVYOSOTA GEREJI BAADA YA KUACHA SHULE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA FULL INTERVIEW

Soma na hizi

Tupia Comments