Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Exclusive: Jux akerwa na Harmonize afunguka aliyomwambia kabla hajampost ‘Nidharau, sijapenda’
Share
Notification Show More
Latest News
Makamu wa Rais wa Marekani aahidi uwekezaji mkubwa barani Afrika alipotua nchini Ghana.
March 27, 2023
Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Exclusive: Jux akerwa na Harmonize afunguka aliyomwambia kabla hajampost ‘Nidharau, sijapenda’
Habari za Mastaa

Exclusive: Jux akerwa na Harmonize afunguka aliyomwambia kabla hajampost ‘Nidharau, sijapenda’

February 9, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mwimbaji Jux anaye-trend na goma jipya la ‘I LOVE YOU’ kwa sasa, amesema hajafurahishwa na kitendo cha Mwimbaji Harmonize kumuweka bila taarifa kwenye bango lenye majina ya watakao-perform kwenye show yake ya Afro East Carnival tarehe 5 March 2022.

Kwenye Interview na Amplifaya ya Clouds FM Jux amesema ———> “Ni muda Harmonize aliniandikia msg ya kutaka niwepo kwenye show yake lakini hatukua tumefikia muafaka, nikampa namba ya Meneja wangu wawasiliane na Meneja wake lakini hawakuwasiliana na hakuna makubaliano yoyote ya kikazi yalifanyika”

“Kitendo cha kutumia jina langu bila makubaliano yoyote kwangu nimekuchukulia ni kuchukuliana poa au kama ni dharau, mimi na Team yangu hatujapendezwa na hilo…… mimi sina tatizo kum-support Msanii yeyote ila ni lazima tuwe kwenye makubaliano kwasababu sisi wote ni Brand” —Jux.

Upande wa Harmonize haujapatikana kulizungumzia hili lakini Jux amesema alimuandikia aondoe jina lake na kumuachia comment kwenye instagram yake ikisomeka “Tafadhali hakikisha kuna makubaliano kati ya uongozi wangu na Team yako kabla ya kuniweka kwenye mabango ya matangazo kama haya”- Jux

“Tunapenda kushirikiana kama Wasanii ila taratibu za kiuongozi zifuatwe, ni vyema ukafuta hili tangazo haraka” ——— alimalizia Jux kwenye comment. #MillardAyoENT

 

 

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

TAGGED: Jux
Edwin TZA February 9, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Wine kwenye glass yako na yake Valentine
Next Article Mkali Rotimi katuletea hii akiwa na mkali wa Nigeria Fireboy ‘Weapon’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Makamu wa Rais wa Marekani aahidi uwekezaji mkubwa barani Afrika alipotua nchini Ghana.
Top Stories March 27, 2023
Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Makamu wa Rais wa Marekani aahidi uwekezaji mkubwa barani Afrika alipotua nchini Ghana.

March 27, 2023
Top Stories

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.

March 27, 2023
Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?