Top Stories

EXCLUSIVE: Maisha ya Haji Manara nje ya mpira, Ndoa zake 3, kuzaliwa kwake Ulaya, mshahara mpya Yanga na mengine

on

Ulikua unafahamu kwamba Msemaji mpya wa Yanga Haji Manara hakuzaliwa Tanzania? ilikuaje akazaliwa huko Ulaya? maisha baada ya hapo? Wake zake watatu? alivyoanza kazi ya Utangazaji na kusoma South Africa na China? mshahara mpya Yanga umeongezeka mara ngapi ya ule wa Simba SC?

Anasemaje kuhusu kauli yake ya kitambo kwamba hawezi kuhamia Yanga hata iweje? unafahamu kuhusu mpango wake wa kugombea Uongozi mwaka 2025? kaelezea wote na sehemu anayotaka kugombea, kabla ya kujiunga Yanga alikua akiita Utopolo sasa hivi anaiitaje? hiyo ni sehemu tu ya maelezo machache sana kati ya mengi aliyoyaongea kwenye hii EXCLUSIVE hapa chini..

EXCLUSIVE: KIWANDA CHA MAGARI YA VOLKSWAGEN RWANDA, WANATUMIA MAGARI YA UMEME MTAANI

Soma na hizi

Tupia Comments