Top Stories

EXCLUSIVE: Mambo 10 kuhusu kiwanda kinachounda magari ya Volks Wagen Rwanda

on

AyoTV leo inakukutanisha na EXCLUSIVE kutoka hapa Kigali Rwanda kulikojengwa Kiwanda cha kuunda magari ya Volks Wagen ambacho Rais Samia alikitembelea mwezi uliopita kujionea na akasema Tanzania ina mengi ya kujifunza kutoka Rwanda, hii video hapa chini itakupitisha kwenye vitu 10 unavyotakiwa kuvifahamu kuhusu VW Rwanda na aina 7 za magari wanayoyaunda hadi sasa.

VIDEO: CHUMBA MAALUM ANACHOLALA RAIS “SIMU HAIINGII”

Soma na hizi

Tupia Comments