Ni miaka minne imepita toka tulipomfuata Mtoto aliyewaacha wengi midomo wazi kwa ujuzi wake wa hesabu charles Matias Mbena ‘Genious wa hesabu, tulifika kwao Kijijini kwa Nyingwa Morogoro mwendo zaidi ya KM 300 na kuhojiana nae na kuonyesha mazingira ya kwao ambapo Fountain Gate Foundation walomchukua na kumfadhili kusoma kuanzia la Kwanzq mpaka Chuo
Leo namfuata Genious Charles Matias Shuleni kwake ikiwa ni miaka mimne baadae na sasa yupo Darsa la 5 na katika Myihani wankitaifa wa la 4 Charles alipata A masomonyote.
Kwa ufupi Charles wa sasa sio yule mwaka 2021, anaongea kiingereza, kichina, ndoto yake aje kuwa Engineer ili abadilishe miundombinu ya kijijini kwao pamoja na maisha ya Familia yake.
Anatusimulia maisha yake ya Shule, nyumabni