AyoTV

EXCLUSIVE: Ni kweli GSM wanataka kuinunua Yanga SC? wenyewe watoa majibu

on

AyoTV imeongea na mkurugenzi wa uwekezaji GSM Hersi Said na kutaka kufahamu GSM wanasimamia mfumo wa mabadiliko wa Yanga SC ambao utagharimu fedha nyingi na muda.

Nini Malengo ya GSM wanataka kununua hisa ndani ya Yanga SC mara baada ya mfumo huo wa hisa kukamilika kama ilivyokuwa kwa MO Dewji ndani ya Simba SC? Enginia Hersi Said ametoa majibu haya na huu ndio msimamo wa GSM kwa sasa.

VIDEO: GSM WAWEKA WAZI MGAWANYO WA TSH MILIONI 200 ULIYOMKWAZA MAKAME

Soma na hizi

Tupia Comments