Habari za Mastaa

Exclusive: Ommy Dimpoz arudi na umeniweza, ajibu kuhusu Diamond na Mama yake na mengineyo

on

Ni Exclusive interview na MillardAyo ambapo time hii amefanya mah0jiano na mkali kutokea Bongo Flevani, Ommy Dimpoz ambae amefunguka mengine yakiwemo kuhusu Diamond na Mama yake pamoja na tusiyoyajua.

Unaweza ukabonyeza play hii video kufahamu kile alichokisema mkali Ommy Dimpoz.

KOREA KASKAZINI YAONESHA MAKOMBORA YAKIRUSHWA, KIM AONGOZA WANAJESHI

Tupia Comments