Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Exclusive: Rona, mwanamke aliyekataa mshahara Mill.3, mjasiriamali, anamiliki kiwanda.
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Exclusive: Rona, mwanamke aliyekataa mshahara Mill.3, mjasiriamali, anamiliki kiwanda.
Entertainment

Exclusive: Rona, mwanamke aliyekataa mshahara Mill.3, mjasiriamali, anamiliki kiwanda.

April 12, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Anaitwa rona mjasiriamali anayetengeneza sabuni na products za ngozi ikiwemo mafuta, scrab na vitu vingine kwa zaidi ya miaka 10 alijitafuta na kujipata mama mwenye watoto watatu aliyeanzia ujasiriamali jikoni kwake kwa kutumia sukari na mchele kutengeneza bidhaa za kuipendezesha ngozi ya mwadamu.

Rona alianza miaka zaidi ya 10 iliyopita akijifanyia nyumbani kwake tena jikoni akiamini siku moja atakua mfanya biashara mkubwa  na bora kuliko wengine.

kiu yake ilikuwa kwenye kufanya maajabu ambayo huenda wengine hawajayaona kwenye nyanja ya urembo , kufanya makubwa na ndio maana hakusita kwenda shule kujisomea na kupitia sido akaamua kujisajili na hivi sasa na yeye anamiliki kiwanda chake kidogo cha utengenezaji wa  product zake natural ni dada wa kichaga aliyetumwa pesa na akajua kuitafuta haswaaa lakini pia ametoa ajira kwa watu wengine wasio pungua kumi.

Hakuamini kwenye kuajiriwa na ndiomana leo kaajiri wengine na anajivunia hilo.”Haijalishi safari yako utaianza vipi lakini la msingi ni utakavyoimaliza”.

Hana makuu wala majivuno na ndiomana leo ayo tv inamsogeza kwako ukamjue na kujifunza jambo kutoka kwa mkali huyu

PLAY hapa chini kutazama Full Interview 

You Might Also Like

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA April 12, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mwanaume mmoja  atumia zaidi ya Mil.300 Kwenye Upasuaji wa kurefusha miguu kufikia inchi tano kupata mpenzi.
Next Article Sura ya Biblia iliyofichwa yagunduliwa  tena baada ya miaka 1,750 iliyopita kwa mwanga wa UV.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?