Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: EXCLUSIVE: Salim Kikeke aeleza kilichomkwamisha Samatta EPL, Mashabiki wa Aston Villa wagawanyika
Share
Notification Show More
Latest News
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhusa wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Wanywaji Pombe wapewa alama tatu, “mdogomdogo, Wajawazito na Madereva”
March 22, 2023
“Serikali kutenga Fedha kulinda hadhi ya urithi wa Mji mkongwe Zanzibar”- Rais Mwinyi
March 22, 2023
Vurugu zilizotokea Mgodini mirerani, wataalamu wa Dodoma wazama migodini
March 22, 2023
‘Serikali kutumia Matokeo ya tafiti kwa maslahi ya Taifa’- Rais Mwinyi
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > EXCLUSIVE: Salim Kikeke aeleza kilichomkwamisha Samatta EPL, Mashabiki wa Aston Villa wagawanyika
SportsTop Stories

EXCLUSIVE: Salim Kikeke aeleza kilichomkwamisha Samatta EPL, Mashabiki wa Aston Villa wagawanyika

September 25, 2020
Share
1 Min Read
SHARE
Nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta amejiunga na club ya Fenerbahce ya Uturuki akitokea Aston Villa ya England, inaripotiwa Fenerbahce wamemsajili kwa mkopo wa msimu mzima 2020/21 lakini Sky Sports wao wametangaza kuwa Samatta amesajiliwa jumla kwenda Fenerhbace kwa mkataba wa miaka minne.
Unajua Samatta hajakaa sana Aston Villa na wengi kutaka kujua kwa nini anaondoka mapema Aston Villa akiwa amekaa kwa miezi tisa tu licha ya kusaini mkataba wa miaka minne na nusu mwezi January 2020 akitokea KRC Genk ya Ubelgiji.
AyoTV imeongea na Mtanzania Salim Kikeke ambaye anaishi na kufanya kazi London England katika shirika la utangazaji la Uingereza (BBC), kwa mtazamo wake nini kimemkwamisha Samatta? mashabiki wa Aston Villa wamelipokeaje, Samatta anaondoka Aston Villa akiwa kaichezea michezo 16 na kuifungia magoli mawili pekee.

AUDIO: RASMI SAMATTA ASAJILIWA NA FENERBAHCE

You Might Also Like

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhusa wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

Wanywaji Pombe wapewa alama tatu, “mdogomdogo, Wajawazito na Madereva”

“Serikali kutenga Fedha kulinda hadhi ya urithi wa Mji mkongwe Zanzibar”- Rais Mwinyi

Vurugu zilizotokea Mgodini mirerani, wataalamu wa Dodoma wazama migodini

‘Serikali kutumia Matokeo ya tafiti kwa maslahi ya Taifa’- Rais Mwinyi

TAGGED: Ayo TV, AyoTV, Soka bongo, top stories
Rama Mwelondo TZA September 25, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Amber Rutty, Mumewe na James Delious wahukumiwa kwenda jela miaka mitano
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 26, 2020
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhusa wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
Top Stories March 22, 2023
Wanywaji Pombe wapewa alama tatu, “mdogomdogo, Wajawazito na Madereva”
Top Stories March 22, 2023
“Serikali kutenga Fedha kulinda hadhi ya urithi wa Mji mkongwe Zanzibar”- Rais Mwinyi
Top Stories March 22, 2023
Vurugu zilizotokea Mgodini mirerani, wataalamu wa Dodoma wazama migodini
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhusa wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Top Stories

Wanywaji Pombe wapewa alama tatu, “mdogomdogo, Wajawazito na Madereva”

March 22, 2023
Top Stories

“Serikali kutenga Fedha kulinda hadhi ya urithi wa Mji mkongwe Zanzibar”- Rais Mwinyi

March 22, 2023
Top Stories

‘Serikali kutumia Matokeo ya tafiti kwa maslahi ya Taifa’- Rais Mwinyi

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?