Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Sara kafunguka kuachana na Harmonize, ya Kajala na kugawana mali

on

AyoTV na millardayo.com zimempata aliyewahi kuwa mke wa msanii Harmonize, Sara ambaye amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kuvunjika kwa ndoa yao, ambapo ameeleza mengi ikiwemo ya Kajala, talaka na hata kugawana mali.

Play video hapa chini kwenda kumtazama Sara akifunguka 

 

Soma na hizi

Tupia Comments