Habari za Mastaa

Exclusive:Chemical afunguka kupata shavu la ualimu UDSM ‘Wanafunzi hawaamini’

on

Kutokea Makao Makuu ya Ayo TV na Millardayo.com Palm Village Mikocheni Dar es Salaam, leo tunakukutanisha na Msanii Chemical ambaye pengine ulikuwa unamchukulia kama Msanii tu ila kwasasa amepata shavu la kuwa Mwalimu wa  Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM, Bonyeza play kuitazama videp ufahamu mwanzo mwisho kuhusu msanii huyo.

KAJALA ATOA TAMKO KUHUSU PICHA ZA UTUPU ZILIZOSAMBAA “SIO MIMI WALA PAULA, KICHWA KIMEPACHIKWA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments