Habari za Mastaa

Nimeipata nyingine mpya ya Nigeria, DJ Exclusive Feat. Davido ‘Wo Le’ (Video)

on

davidoor

Davido ni mmoja wa wasanii wenye majina makubwa Afrika, tunaendelea kumuona kwenye collabo baada ya collabo.

Dj Exclusive ameamua pia kumshirikisha staa huyo katika Video yake mpya inayoitwa ‘Wo LE’ iliyoandaliwa na mtayarishaji Adasa Cookey.

Itazame hapa mtu wangu….

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments