Top Stories

Exclusive:Macha kutoka kuwa jambazi hadi kumiliki makanisa “nililala kaburini” +(video)

on

Askofu Paul Macha ambaye anamiliki Kanisa la Jesus Colling Mison amekaa na sisi kuelezea aliyoyapitia kwenye maisha ambapo kwa kipindi cha nyuma alikuwa maarufu sana Tanzania kutokana na matukio yake ya ujambazi ambapo alihukumiwa gerezani miaka 30.

Macha anasema alikuwa na kesi 12 lakini akiwa gerezani alikuwa anafanya ujambazi kwa kuwa alikuwa anawapa ramani wenzake waendelee kuiba lakini pamoja na matukio yote aliyoyafanya mwaka 1988 alikuwa anafanya maombi akiwa na mwenzake ambaye alikuwa amefungwa na baada ya kutoka alibadilika na kuacha vitu vyote nakuamua kuokoka.

POLISI WAZUIWA KWA MAWE WAKITAKA KWENDA KUZIMA MOTO “MSIPIGE GARI”

Soma na hizi

Tupia Comments